shopping_bag
translate expand_more
search
arrow_back RUSKIN COSMETICS
RUSKIN PRODUCT

RUSKIN PRODUCT

TZS 50,000

Maelezo ya Bidhaa

RUSKIN PRODUCT unapata full set.. ๐Ÿงผ RUSKIN SABUNI * Husafisha ngozi na kuondoa uchafu. * Husaidia kuacha ngozi ikiwa safi, laini na yenye mwonekano mzuri. * Inafaa kwa matumizi ya kila siku. * Unaweza kuitumia pamoja na RUSKIN Scrub na Lotion kwa routine kamili ya mwili. โ˜• RUSKIN SCRUB * Husaidia kuondoa dead skin cells na uchafu uliopo juu ya ngozi. * Husaidia ngozi kuwa laini, smooth na yenye mwonekano fresh. * Inasaidia kuandaa ngozi kabla ya kupaka lotion. * Tumia mara 2โ€“3 kwa wiki, kulingana na aina ya ngozi. ๐Ÿงด RUSKIN LOTION * Husaidia kulainisha na kuipa ngozi unyevunyevu. * Husaidia ngozi kuonekana smooth, fresh na yenye glow. * Inafaa kwa matumizi ya kila siku. * Kwa matokeo bora, tumia baada ya kuoga na kusafisha ngozi kwa RUSKIN Sabuni na Scrub. โœจ RUSKIN 3-STEP BODY ROUTINE RUSKIN SABUNI โ†’ RUSKIN SCRUB โ†’ RUSKIN LOTION ๐Ÿงผ Safisha โ˜• Exfoliate ๐Ÿงด Moisturize RUSKIN โ€” Skin care ya mwili wako, kila siku. โค๏ธ

Sambaza bidhaa hii

Facebook, WhatsApp na LinkedIn hufungua kusambaza kiungo la bidhaa. Nakili kiungo huhifadhi URL kwenye ubao wa kunakili.

Tathmini

Bado hakuna tathmini.

Zinazohusiana

Tazama Zote

Tafadhali thibitisha