RUSKIN SOAP
TZS 20,000
Maelezo ya Bidhaa
RUSKIN SOAP ๐งผโจ
RUSKIN SOAP ni sabuni iliyotengenezwa kwa ajili ya usafi wa ngozi ya mwili. Husaidia kuondoa uchafu na mafuta yaliyopitiliza, huku ikiiacha ngozi ikiwa safi, laini na fresh.
โจ Inafaa kwa matumizi ya kila siku
โจ Husaidia kusafisha ngozi vizuri
โจ Huacha ngozi ikiwa na hali ya usafi na freshness
โจ Ni hatua nzuri ya kuanzia kwenye skincare routine yako
Safisha ngozi yako kwa RUSKIN SOAP ๐งผโค๏ธ
RUSKIN โ Beauty starts with clean skin.
Tathmini
Bado hakuna tathmini.