RUSKIN PRODUCT
TZS 50,000
Maelezo ya Bidhaa
RUSKIN PRODUCT unapata full set..
๐งผ RUSKIN SABUNI
* Husafisha ngozi na kuondoa uchafu.
* Husaidia kuacha ngozi ikiwa safi, laini na yenye mwonekano mzuri.
* Inafaa kwa matumizi ya kila siku.
* Unaweza kuitumia pamoja na RUSKIN Scrub na Lotion kwa routine kamili ya mwili.
โ RUSKIN SCRUB
* Husaidia kuondoa dead skin cells na uchafu uliopo juu ya ngozi.
* Husaidia ngozi kuwa laini, smooth na yenye mwonekano fresh.
* Inasaidia kuandaa ngozi kabla ya kupaka lotion.
* Tumia mara 2โ3 kwa wiki, kulingana na aina ya ngozi.
๐งด RUSKIN LOTION
* Husaidia kulainisha na kuipa ngozi unyevunyevu.
* Husaidia ngozi kuonekana smooth, fresh na yenye glow.
* Inafaa kwa matumizi ya kila siku.
* Kwa matokeo bora, tumia baada ya kuoga na kusafisha ngozi kwa RUSKIN Sabuni na Scrub.
โจ RUSKIN 3-STEP BODY ROUTINE
RUSKIN SABUNI โ RUSKIN SCRUB โ RUSKIN LOTION
๐งผ Safisha
โ Exfoliate
๐งด Moisturize
RUSKIN โ Skin care ya mwili wako, kila siku. โค๏ธ
Tathmini
Bado hakuna tathmini.