RUSKIN LOTION
TZS 15,000
Maelezo ya Bidhaa
RUSKIN LOTION ๐งดโจ
RUSKIN LOTION ni body lotion inayosaidia kuipa ngozi unyevunyevu, ulaini na mwonekano wa fresh na healthy glow.
โจ Husaidia kulainisha ngozi
โจ Husaidia kuzuia ngozi kuwa kavu
โจ Huacha ngozi ikiwa smooth na yenye unyevunyevu
โจ Inafaa kwa matumizi ya kila siku
โจ Ni nzuri zaidi kutumika baada ya kuoga na kusafisha ngozi
๐ RUSKIN LOTION โ Moisturize. Smooth. Glow.
Fanya skincare routine yako iwe kamili kwa kutumia RUSKIN SOAP โ RUSKIN SCRUB โ RUSKIN LOTION. โจ
Tathmini
Bado hakuna tathmini.