RUSKIN SCRUB
TZS 15,000
Maelezo ya Bidhaa
RUSKIN SCRUB ☕✨
RUSKIN SCRUB ni body scrub inayosaidia ku-exfoliate ngozi kwa kuondoa dead skin cells na uchafu uliopo juu ya ngozi. Husaidia kuifanya ngozi iwe laini, smooth na yenye mwonekano fresh.
✨ Husaidia kuondoa dead skin cells
✨ Husaidia kufanya ngozi iwe laini na smooth
✨ Husaidia kuipa ngozi mwonekano fresh na glowing
✨ Husaidia kuandaa ngozi kabla ya kupaka lotion
✨ Inafaa kutumika mara 2–3 kwa wiki, kulingana na aina ya ngozi
RUSKIN SCRUB ☕❤️
Exfoliate • Smooth • Glow
Tumia RUSKIN SCRUB pamoja na RUSKIN SOAP na RUSKIN LOTION kwa body-care routine yako kamili. ✨
Tathmini
Bado hakuna tathmini.